Hivi suala la kudai haki yako ili uweze kukidhi haja za siku linahitaji msukumo wa nje?
Kuna watu wanastahili kufumuliwa vichwa vyao bila hata nusu kaputi walao kuchunguza kama ni binadamu wa kawaida au mapepo yaliyovaa miili.
wavuti.weebly.com |
|
Ndiyo maisha halisi si ya Mwalimu tu, bali ya wafanyakazi katika sekta nyingi nchini Tanzania. Sumu inamwagika pale wanapohoji ni kwa vipi mishahara yao inacheleweshwa kwa hadi miezi mitatu bila maelezo muafaka, huwa wanapigwa na kutupiwa kejeli kuwa wanasukumwa na vyama pinzani au watu wa nchi za Ng'ambo.
Hivi suala la kudai haki yako ili uweze kukidhi haja za siku linahitaji msukumo wa nje? Kuna watu wanastahili kufumuliwa vichwa vyao bila hata nusu kaputi walao kuchunguza kama ni binadamu wa kawaida au mapepo yaliyovaa miili.
SB
14/11/2009 12:33:12 am
wawekee hii wasomaji wako Comments are closed.
|
Archives
February 2014
.
|